Tunahitaji SAINI 20,000 kabla ya saa 6 usiku. Mpaka sasa tumepata 16,420. Naomba usaini na Share kwa wengine chap chap. Usilale kabla hujasaini hii ni Muhimu kwaajili ya ndugu zetu waliouliwa KIKATILI NA SAMIA.
REPOST 500
https://t.co/hMj55Mczjm
Manzi hana miguu misafi automatically Kummer safi hana.
Manzi anamka anashinda bila kuoga, anaoga usiku mpaka usiku huyo wa nini hatakama uko mkoani.
Hao wanawake wana aina yao ya wanaume sio wewe X user unae'enjoy content.
Kila mwanaume anafaa kuwa na mw'ke mmoja msafi sanaa.
Wakati mwanaume unapambana kwa nguvu ili kuanzisha familia bora pengine watoto wasiteseke.
Kuna wanaume wamezipata badala ya kuanzisha familia
Wameendeleza familia za wanaume wenzao waliokibia vioja vya mwanamke wao vilivyoko nje ya K ambavyo bado hajakuonyesha
Chaguo ni lako.
Kula mke wa mtu sio sawa. Lakini, kumla halafu anakuwa anakuomba pesa automatically huyo ni malaya.
Mke wa mtu anaekuelewa kweli haombi hela ata siku moja.
Wengi wanapenda mikazo ya nguvu na kitu fulani asichopata kwake, aki deal na pesa huyo ni malaya.
EPUKA MKE WA MTU.
🦠 Mpox: Tujikinge, Tuelimike, Tuchukue Hatua.
⸻
📌 1. Mpox ni nini?
🧬 Mpox ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na Monkeypox virus (MPXV) kutoka jamii ya Orthopoxvirus – familia moja na ndui (smallpox) 🧫, cowpox 🐄 na vaccinia.
🧩 Kuna aina mbili kuu za virusi (clades):
• 🟢 Clade I (Ia & Ib) – zaidi Afrika ya Kati na Mashariki
• 🟡 Clade II (IIa & IIb) – mlipuko wa dunia 2022–2023 ulisababishwa na aina ya IIb
⸻
📖 2. Historia kwa Ufupi
📍 1958 – Virusi vya Mpox viligunduliwa kwa mara ya kwanza kwa nyani nchini Denmark 🐒
📍 1970 – Kesi ya kwanza ya binadamu iliripotiwa DRC 👶
📍 2003 – Mlipuko Marekani ulitokana na wanyama wa porini 🐿️
📍 2017 – Mpox ilitokea Nigeria na kuendelea kusambaa 🌍
📍 2022–2024 – Mlipuko mkubwa ulienea nchi 120+, visa 100,000+, vifo 220+ 📊
🔄 3. Mpox Huenea Vipi?
🤝 Kugusa ngozi ya mtu aliyeambukizwa (ngozi kwa ngozi)
💋 Kupitia busu, ngono au kugusa vipele
🗣️ Kupumua karibu na mgonjwa (mazungumzo ya karibu, kukohoa)
🧺 Kutumia mashuka, taulo au nguo vilivyotumiwa na mgonjwa wa Mpox
💉 Kupitia sindano (kwa wahudumu wa afya)
🤰 Mama anaweza kumuambukiza mtoto tumboni au wakati wa kujifungua
🐾 Kugusana na wanyama walioambukizwa (kuwindwa, kuchinjwa au kuliwa)
⸻
🚨 4. Dalili za Mpox
⏱️ Zinaanza siku 1–21 baada ya kuambukizwa
📆 Hudumu kwa wiki 2–4 (au zaidi kwa wenye kinga dhaifu)
💡 Dalili kuu ni:
🤒 Homa
🤕 Maumivu ya kichwa
💪 Maumivu ya mgongo na misuli
🥱 Uchovu
😮 Maumivu ya koo
🦠 Kuvimba kwa tezi (shingo, kwapa, sehemu za siri)
🧖♂️ Vipele kwenye uso, viganja, nyayo, sehemu za siri, mdomoni, kooni
🚽 Maumivu wakati wa kukojoa au haja kubwa
👁️ Maambukizi kwenye machi
➡️ Vipele: huanza kama vipele vya kawaida → malengelenge → kupasuka → kukauka → kuacha kovu.
⸻
❗ 5. Madhara ya Mpox
🟢 Wengi hupona bila madhara.
🔴 Kwa baadhi (kundi dogo sana), madhara yanaweza kuwa:
• 🧴 Maambukizi ya bakteria kwenye ngozi
• 🫁 Nimonia
• 🧠 Encephalitis (ubongo)
• ❤️ Myocarditis (moyo)
• 🩸 Sepsis
• 🤢 Kichefuchefu, kuharisha
• 👁️ Kupoteza uoni
⸻
🧪 7. Utambuzi wa Mpox
✅ Kipimo ni PCR kutoka kwenye:
🟣 Ngozi, majimaji, au ganda la vidonda
👄 Koo (ikiwa hakuna vipele)
🚾 Haja kubwa (anal swab)
🔍 Sio kila upele ni Mpox; Kwa macho ya kawaida Mpox hufanana na: tetekuwanga 🐓, surua 🟡, herpes 🟠, fangasi 🟤, kisonono ⚫hivyo kuonwa na daktari ni lazima.
⸻
💊 8. Tiba ya Mpox
🚫 Hakuna dawa ya moja kwa moja
🛌 Tiba ni ya kusaidia kupunguza dalili mfano:
✔️ Dawa za maumivu
✔️ Maji ya kutosha na lishe bora 🥗💧
✔️ Utunzaji wa ngozi
🚫 Usipasue vipele au kunyoa eneo lililoathirika
⸻
🧼 9. Jinsi ya Kujikinga
Epuka kugusa majimaji ya mwili Wa mtu mwenye maambukizi ya Mpox
Epuka kusalimiana kwa kukumbatiana, kubusiana au kushikana mikono na mtu mwenye dalili za Mpox
Epuka kugusana na mtu mwenye dalili za Ugonjwa wa Mpox
Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni au tumia vitakasa mikono
Epuka kula au kugusa mizoga au wanyama pori wenye maambukizi yaUgonjwa wa Mpox
Epuka kusogeleana karibu na mtu mwenye dalili za Mpox wakati mnaongea
Epuka kugusa vyombo, matandiko, nguo au godoro la mtu mwenye Ugonjwa wa Mpox
Safisha na takasa sehemu zote na vitu ambavyo vinaguswa mara kwa mara
Epuka kujamiiana na mtu mwenye dalili ya ugonjwa huo
⸻
📊 11. Mpox Duniani
🌍 Nchi zilizoathirika: Zaidi ya 120
🧪 Visa vilivyothibitishwa: 100,000+
⚰️ Vifo: 220+
⸻
📢 Hitimisho
Mpox si jambo la kuogopa sana – bali la kuelewa, kuelimisha na kuchukua hatua.
🧠 Elimu sahihi
❤️ Mahali sahihi pa kupata huduma
⚕️ Jikinge na uwakinge wengine
☎️ Piga namba 199 masaa 24 siku saba za wiki kwa maelezo au msaada
Jikinge; iweke Tanzania salama dhidi ya Mpox.
⸻
Bora uitwe dictator na una mambo ya zamani kuliko kuruhusu mkewako kuwa na rafiki.
1. Ambae hajaolewa.
2. Aliyezalia nyumbani.
3. Alieolewa akaachika.
4. Anaempelekesha mume wake.
5. Mwenye tamaa dhiki na njaa.
Wanawake hawapo kusaidiana, wapo kuharibiana. Akianguka yeye atataka na wenzie waanguke.
Shout out kwa kina dada na ma bro mnaoishi vizuri na hamna kelele katika mitandao.
Kuna class ya watu wako vizuri, wamo mtandaoni lakini hawana ile vibe ya kujionyesha kwamba wanaishi poa sana kwa ground.
Hongereni sana.
Na wale mliopo na life gumu na hamlii hovyo hongereni.
Kuwa na kipato usijionyeshe ni akili.
Kutokuwa na kipato na usilie lie huku unapambana ni akili zaidi.
Kuna wasio na kipato lakini wanataka kuonyesha watu kwamba wanaishi vizuri hawa ni wajinga sana.
Kuna wenye kipato na wana diplay mitandaoni hawa pia wako sahihi kwa upande wao maana wanacho kweli na kujionyesha hakuna ubaya ila ni ulimbukeni sometimes.
All in all tuishi.