Kiberiti kimoja, sukari robo na change ๐ถ๐ถ

Kiberiti kimoja, sukari robo na change ๐๐๐๐
Inanikumbusha mbali sana hii
TBT: Top ten 5 zangu za Old Bongo Flava
1. Daz baba ft ferouz ft Afande Sele - Elimu Dunia
2. Afande Sele ft Solo thang ft P. Jay - Mtazamo
3. Jebby - Wanapagwa
4. Squezer ft juma nature - Naja
5. Jay moe ft ngwea - kimya kimya
Ongeza za kwako ๐ฅ
Shule zimefunga kuweni makini uko mtaani wanafunzi ni wengi.
Sheria iko palepale ukijichanganya unaenda na maji.
Leo unamuona kapendeza ila mahakamani analetwa akiwa kavaa nguo za shule ndo utajua ujui.