Fikiria madaktari wakigoma kutibu wagonjwa kwa sababu hospitali haina umeme.
Ungesema tatizo ni wagonjwa au mfumo?
Kwa nini tukimwona mtu mwenye ulemavu ameshindwa kusoma,kufanya kazi au kufika kwenye huduma, tunamlaumu yeye badala ya mfumo uliomwekea vizuizi?
#UlemavuSioKizuizi
Mapema nishajipatia jarida langu la Amkeni๐
Si niliwaambia kuwa hawa jamaa wanayo hela chafu sana, Kila mwezi wanachapisha majarida kibao na wanakupa bure kabisa.
Hawa ndio Mashahidi Wa Jehova Sasa๐
Ukikosa nguvu, mkumbuke Mungu. Ukikosa majibu, mkumbuke Mungu. Ukikosa njia, mkumbuke Mungu.
Kwa sababu ukubwa wa changamoto haujawahi kuwa mkubwa kuliko ukuu wa Mungu. ๐
Msela kaanza mapenzi na binti tangu O level yeye akafaulu binti akafeli . Jamaa amepambana akawa stable akampeleka binti QT akasoma akapata cheki cha form four kizuri.
Jamaa akamtafutia connection binti akaingia jeshini mpaka akaajiriwa . Binti sasa ivi kaolewa na mwanajeshi ๐