๐จ Official and confirmed.
Simba SC ๐น๐ฟ have announced the signing of stalwart defender Mohamed Ouattara ๐จ๐ฎ on a two-year deal from Sudanese giants, Al Hilal SC. โ๐ผ
#Transfers | #NguvuMoja
@eastafricatv Pesa aiwez kununua furaha coz wapo wengi sana wenye pesa na tunashuhudia maisha yao , familia zao ata wenza wao hawana furaha, .mfano una pesa lakin katika ndoa yenu hamna mtoto na furaha ya ndoa ni mtoto je pesa ako itanunua mtoto??๐ค๐ค๐ค
@eastafricatv#EatvWCW ...si kwel kwamba wasaniii wa kike wana maendeleo kuliko wa kiume kinachofanyika ni jitihada mbali mbali tu zinazofanyika kuhakikisha dada zetu nao pia wanapata mafanikio...ko cha msingi tu ni kupambana kuiweka tasnia yetu ya muziki katika level za juu zaidi na wanawake