@Young__guru Niyonzima hakua mtengeneza nafasi bora fatilia mpira, alikua mtimbuizaji … tangu karne hii hakuna kama chama labda kama unalazimisha wa kufananisha nae… ukibisha leta stats!!
Kipindi cha MAGU deni la taifa lilikuwa linashuka na MAENDELEO tulikuwa tunayona—njoo zama za Kizimkazi mamae.
Deni linapaa na hakuna kinachoendelea ni kama tunasubiri mwisho wa dunia tuu kama taifa. Wasenge wanakopa kwaajili yao na familia zao, afu tunakuja kudaiwa kama TAIFA.
HATURUDI NYUMA….. SAFARI YA UKOMBOZI HAIJAWAHI KUWA RAHISI. Ushindi ni lazma na TUTASHINDA…..
Kuanzia sasa Tanzania ni lazma kuwe na maandamano all the time mpaka haki ipatikane kwenye nchi yetu. Haki kwanza , haki ikipatikana amani itafuata automatically.
Watu waliouwawa wakiwa katika maandamano idadi yao inaweza isiwe kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu ambao hawakujihusisha na maandamano hayo. Wao waliamua kutulia ndani au vijiweni kwao tu. Wauaji waliwafuata huko na kuwapiga risasi za kichwa, tumbo, mgongo na matako. 💔
@BracuszCadabra Alem fundi saana, kawazidi viungo wengi sababu yeye ni pressure resistance na ana jicho la pasi🔥 na ndo kinachowafelisha kina kagoma tu
Kila mchezaji ambaye wanamsajili lazima waseme “Simba ndio walikuwa wa kwanza kumtafuta na kufanya nae mawasiliano lakini Nyuma Mwiko wakapanda dau wakapindua meza” hii sio bahati mbaya😁
Yaani mchezaji asajiliwe kwasababu Diarra amesema😂😂🙌🙌