@Sisimizi3 me nimetembea 2.5KM kwa mguu kwa dakika 23 sasa hiyo risasi ya kwenda 1KM per hour itanikuta wapi au KM/hrs inakuchanganya ulitaka kusema inasafiri umbali wa 1KM? ambapo pia haiwezekani kwa silaha kama hiyo. jifunze kwanza jambo kabla hujalitoa kwa hadhira watakuumbua wanaojua
@johnpallngy@HildaNewton21 weee huo ulikuwa mpango kama hujasoma kuweit utasema majaji wamesimika ngumu ila ukizunguka chemba ya nyuma unakuta ni mpango maana leo waliandaa shahidi mmoja tu kwahiyo wasingeendelea bila shahidi mwingine. soma mchezo huo
@HildaNewton21 hii ni makusudi kabisa kumnyima chakula maana kwa leo hawana shahidi mwingine, kwahiyo walitumia hii mbinu kufanya ahirisho. hii mbinu TAL hakuigundua kabisa angenyamaza muda ule ili wakose shahidi alafu washitaki lawama ziwe kwao ila kwa sasa lawama ni magereza wapokea maagizo.
@HecheJohn Usiwape maarifa wasioweza kuyahimili na kuyataka ni kama unatwanga maji kwenye kinu tu hakuna watakaloshika wala kulifanyia kazi. Viburi na dharau zao zimewafifisha uwezo wa bongo zao ni domant kabisa
@Mwabuk2Boniface nchi hii kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake yaani catholic na mwamba mwamba wapi na wapi lini na lini aki ya nani wangetupumzisha jamani tuna mengi