@Narrowbeeflying Mm nlkua nafanyaga hadi la 26 ๐ hayo menginee namwaga motoo maana nlkua sielewi kabisa. Bt hayo 26 nlkua nafanyaga kwa umakini mkubwa sana nsikosee
@shibobo___ Kachoma ila diara hajamfokea kama anavyomuoneaga mwamnyeto ๐, kuna rafu alicheza mwamnyeto diara aliwaka kweli kweli ila alivyochoma huyu mcheza Kung Fu diara akatulia kama hakuna kilichotokea mamaaeeeeeeeee. Wanamuoneaga sana kapteniiii....
@Iamfelixtz Ndo inasaidia nini na watu washaumizwa na kile walichofanya ? ukisema ni wajifunze, ni wangapi wametoka kufungiwa na bado wakachezesha hovyo na kurudishwa tena kabatini?
@Lizzie36021 mamaeeee ๐ malipo ni hapa hapa duniani, kipindi tukiwa wadogo watu wakubwa ndo walikua wanafaidi, sisi tumekua wakubwa wanaofaidi ni wenye hela, sasa na sisi wanaume tumebadilishaa ๐๐