Step-by-Step: The Catholic Church after the death of a Pope
1. Confirmation of Death
The Camerlengo (Chamberlain of the Holy Roman Church) officially confirms the pope’s death.
Traditionally, he gently calls the pope’s baptismal name three times. If there's no response, he declares the pope dead.
@AdvMatata Mbona kwenye issue ya maslahi ya taifa ya DP World hukutokea kuchambua ule mkataba kisheria na pengine kufungua kesi kuupinga? @PKibatala@PKibatala_
Hizi sio sarakasi unafanya kweli!?
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Diamond
Jux
B Dozen
Ommy Dimpoz
Mbona hiyo safari ya Nigeria yenye mambo "very unusual for a wedding" imejaa watu wenye tuhuma fulani!?
🤔Ndio imekua harusi unusual namna hiyo.
Ngoja nipitie orodha nzima huenda likagundulika jambo.
@Kazingumu@Advocate_Jebra Hujanielewa. Nimemkumbusha Jebra aache kejeli ajenge hoja ya kuvutia watu upande wake. Swala la watu kuondoka kwa usafiri tofauti lipo kila kusanyiko kutokana na utofauti wa vipato.