Mr. Claude ukim-couple na VPN unapata matokeo hasa pale ambapo anakuwa amelemewa kwa kuwa na watumiaji wengi. Chagua nchi ambayo wakati huo unajua bado wamelala. Utaniambia.
We are hiring engineers and scientists! Join one of our teams:
- Deception - stress-test and train against lie detectors
- Integrity - red-team frontier models and write evals for new threats
- Foundations - develop infrastructure for scalable ML workflows
NEW 3-6mo fellowship๐
Ujerumani ina changamoto ya kukosa Wafanyakazi wenye ujuzi, sababu wazee wanastaafu na hakuna vijana wa kujaza nafasi zao. Kila mwaka Ujerumani inahitaji wafanyakazi 288,000 kutoka nje ya nchi ili isipungukiwe na 10% ya wafanyakazi ifikapo 2040. India sasa inapeleka vijana huko.