@HKigwangalla Immaturity kabisa hii...uliwahi kuwa naibu waziri wa afya na kwa sasa ni mbunge.... una uwezo bado wa kufika muhimbili na kujifunza kwa wenzio achana na uana harakati wa kubishana mitandaoni!
@CarolNdosi Kila mtu atapata au kujaaliwa naemstahili!Tusiongee mengi tutakerana bure maana kabla ya kuangalia ufupi kuna vingi vya kutazama pande zote mbili
@Mchambuzi5 Mtaongea mpaka na matako badala ya midomo safari hii..ila mzee baba akishaamua kaamua na huo ndio uanaume, hakuna kurudi nyuma...endeleeni kubwabwaja ila msimamo mnaujua!
YOU WILL ALL THANK HIM SOME DAY...
@ThatBoyKhalifax@HecheJohn@MagufuliJP Hujiulizi je vifaa vya kupima kama kuna vijidudu ktk barakoa ipo?Na je utatest barakoa ngapi, Kabla hazijaingia mitaani? Unadhani hao "wabaya wetu" wanaweka vijidudu ktk kila barakoa? Testing huwa haifanywi kwa kila element inachukuliwa sample moja au mbili ktk batch. Think boy!!
@IAMartin_@earadiofm Ukiwa mpinzani na akili unakuwa huna! Kuna miongozo ya utoaji huduma kwa hospital za umma na binafsi...miongozo inapokiukwa lazima hatua zichukuliwe... sio kwakuwa ni hospital binafsi basi wafanye wanavyotaka...Mbona kiwanja ni chako na unaenda kuomba kibali cha ujenzi?Hopeless!!
@ginimbi_jr@MariaSTsehai@kigogo2014@fatma_karume@HildaNewton21 Ulishawahi kushiriki hafla yoyote au tukio lolote linalojumuisha viongozi wakuu wa serikali mahali popote! Nadhani hujawahi ndio maana unashangaa kuziona hapo...Endelea kufuatilia mikutano mingine nadhani utaziona!
@IAMartin_ Wewe ni ndg wa marehemu?Maana naona kama vile unataka kuwapangia watu hadi cha kusema kwenye misiba isiyokuhusu.Kwani kuwekewa machine ya kusadia kupumua imeanza kitumika ktk kipindi hiki tu!Acheni nongwa kwenye misiba ya watu!Subir afe mjomba wako utakuwa huru kusema kafa na nin