@godbless_lema Sitaki kuamini kama hii post imetoka kwa Mtu makini ninayemuamini Kamanda Godbless Lema, kama ndivyo tafadhali Bro acha hizo mambo, si za level yako, zinakushusha!
@YerickoNyerereT Nakubaliana na Wewe, Day one alizungumza vizuri sana, hata hivyo leo nadhani hoja yake kubwa ilikuwa No Reform No Election hayo mengine amechomekes tu
@godbless_lema Nadhani bado kuna changamoto upande wa Vodacom Kamanda! Nilikumbushwa tangu tarehe 27 March nikaweka hela, mpaka sasa haijakatwa nikiwapigia simu majibu hayaeleweki, tafadhali fatilia
@godbless_lema Of the Brilliant and most influential Politician I know in Tz, Is You Bro! Nakuombea Mungu akutunze Kaka, naamini kupitia Wewe siku Moja Historia ya Nchi yetu itaandikwa kwa Wino Mzito!
@godbless_lema Kuna wakati uliteleza kidogo Role modal wangu ila nafurahi ulijirudi haraka na mapema! Umenena Vema na nafurahi sana umeweka pembeni ushabiki wa kikabila na uswahiba binafsi, umesimama kwenye mstari bila kuegemea upande! Baki hivyo hivyo tafadhali