@clusajo@SuluhuSamia 5. Uboreshwaji wa upatikanaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira nchini Tanzania
6. Mageuzi kwenye sekta ya utalii
7. Mazingira ya uwekezaji nchini yameboreshwa kwa kiasi kikubwa nk
@clusajo@SuluhuSamia 4. Serikali ya Tanzania imechukua hatua kuboresha sekta ya afya kupitia uwekezaji mkubwa katika ununuzi wa vifaa tiba. Katika mwaka wa fedha 24/25, zaidi ya shilingi bilioni 250 zilitengwa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na vifaa vingine vya afya katika Halmashauri zote 184
@clusajo@SuluhuSamia 2. Katika makala iliyochapishwa Novemba 20, 2024, Rais Samia alisifiwa kwa kuwakilisha Tanzania kama Rais mwanamke barani Afrika kwenye mkutano wa G20 nchini Brazil. Ushiriki wake ulionyesha ushawishi wake unaozidi kukua na kutambuliwa kwa maendeleo ya kiuchumi
@clusajo@SuluhuSamia 1. Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation - MCC) la Serikali ya Marekani lilieleza kuridhishwa na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo ya demokrasia, utawala bora, na haki za binadamu
Uwekezaji kwenye miundombinu kama vituo vya polisi umeongeza ufanisi wa jeshi katika kushughulikia uhalifu. Maboresho haya yameongeza uaminifu wa jeshi hilo na ufanisi katika kulinda usalama wa raia.
@tanpol