“Nikiulizwa mimi makamu wa Rais kwamba nina jambo gani moja tu la kuwaambia Watanzania, mimi nitawaambia pambaneni mpate Katiba mpya. Katiba yenye makubaliano ya wadau wote, inayojali maisha ya mtu na inayoheshimu haki za raia wake” Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi.
Sanctioning a corporal who doesn’t even know how to spell “Britain”, has no visa, no foreign bank account and cannot travel to the UK is the usual colonial smoke and mirrors. The person responsible for the atrocities and who works for the UK, US and Israel is @SuluhuSamia.
@SFRCdems@SenTedCruz@SenatorShaheen The legislation is crucial in order to put things into a larger perspective - it rightfully points out the continued systemic repression and violence perpetuated by CCM and others! They need to be contained!
@RioMeets baada ya kuona tunampelekea moto kila kona mpaka kwa mkewe, kaona wamuitishie press kabisa ili atoe ufafanuzi halafu kupitia huo ufafanuzi wake ndo tumejua ambayo tulikuwa hatujui.😂😂😂
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, anaendelea vizuri kiafya.
Mnyika ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa Operesheni Katiba Mpya kwa Kanda ya Kaskazini uliofanyika katika Uwanja wa Relini Mkoani Arusha.
“Nawaletea salamu za Mwenyekiti, Tundu Lissu, za jana, mambo mawili, kwanza amesema afya yake inaendelea vizuri, sisi tumemwambia kwamba pamoja na amesema afya yake inaendelea vizuri, akitoka gerezani ni lazima tupime kuona kama aliwekewa sumu au hakuwekewa, pili anasema msirudi nyuma, tusonge mbele,” amesema Mnyika. #MillardAyoUPDATES