Kuwa Msichana/Mwanamke wa kiislam haimaanishi kuwa umezaliwa na ufinyu katika ubunifu. Unaweza kuwa mbunifu wa jambo lolote lile sawa na ndoto zako, ila jambo moja tu unapaswa kufanya ni kuhakikisha unaisimamia ndoto yako hiyo ili ilete maana halisi ya Ubunifu.
#ladiesinislam🧕🏻
#URGENT
2 MAY 2021
Tunakuomba mwenye Damu group O- au A-, usaidie kuokoa maisha ya mgonjwa yuko Hindu Mandal anahitaji kufanya Dialysis lakini ana low Hb.
Tafadhali sana naomba wasiliana na
0672 245717
0764 245717
Tafadhali sambaza kwa wengine..
Tunashukuru Mungu kwa kutuletea jembe letu watanzania, Ndugu John Pombe Joseph Magufuli, Bwana ametoa na Bwana ametwaa jila lake lihimidiwe
Tuendelee kuombea Amani, utulivu, upendo na Umoja wa Taifa letu Tanzania 🇹🇿🙏🏾.
📢 Invitation to Art Exhibition: WASEMAJE? | What do you say?
🔜Come and enjoy and engage with artistic interpretations of the experiences of Tanzania’s citizens.
👀Very limited space- register today!
Huu ni Mwezi wa Rosary kwa wakatoliki wote, kipindi kizuri cha kusali Rosary na kupeleka sala na maombi kwa Mama yetu Maria, tukumbuke kusali mara nyingi tuwezavyo.