Its my birthday🌺. Alhamdulillah. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu.
Ummy Mwalimu wa sasa Vs Ummy Mwalimu 10 years ago. Ama kweli siku hazigandi.
OYAAAA I S S A CLASSIC MUSIC MY BRO @officialkilly_tz FT MY SELF RUN IT UP
LINK ON HIS BIO @officialkilly_tz 🏁🏁🏁🏁 (UHIO) TONIGHT (HUSTON) TOMORROW PARTY TIME 🎸🎸🎸🎸🎸 CHECK WITH MY BROTHER @dj.storm6 FOR YOUR TICKET 🎟 https://t.co/Ssj3YuBlij
THE WORLD IS NOW OPEN WE OUTSIDE
TURN UP FROM TOMORROW 4/9/ (OHIO)
(HUSTON) 5/9/ GO GET YOUR TICKET 🎟 NOW LINK IN MY BIO @dj.storm6 🦅 @ Newark, New Jersey https://t.co/tBhQoGchj2
👉Chanjo mpya ya Covid-19🤣🤣🤣
👉Mawaziri kama hawa wanajidhalilisha wao wenyewe, familia zao, taifa na kimataifa
👉Dr. Dorothy Gwajima ametafuta sababu za kujiuzuru akaona aje na hii skendo🤣🤣🤣
👉Ametumia mbinu kama ya Kitwanga kujifanya amelewa bungeni
👉Subiri majibu mama
RUN IT 🏃♂️ 🏃♀️ IT UP AND SAY MY NAME LINK PABIO 🏁🏁🏁 BLESSED MONDAY ENJOY AFRICAN BEST VIDEO 🤞❤🌹@director_ivantz ON DAT SHIIT 😎 😄 @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/W8wLDuKaAb
JIONEE VIBE LA MASHABIKI WA YANGA
Vibe la mashabiki wa @yangasc1935 uwanja wa Benjamin Mkapa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi 2021.
Matukio zaidi tembelea Youtube ya @eastafricatv na @earadiofm
#MICHEZO Manchester City imejitoa kwenye mbio za kumpata mchezaji Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 36. Na klabu ya Manchester United ndiyo inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na wakala wa mchezaji huyo Jorge Mendes kukamilisha usajili wa kujiunga na timu yake hiyo ya zamani.
Nyumba inahitaji vitu vingi ili iweze kukamilika, fundi mzuri anakueleza kila kitu na hatua zake.
Usikose kutazama #Ujenzi Jumatatu hii kuanzia saa 3:00 Usiku kufahamu mambo mbalimbali kuhusu nyumba yako.
"Kwenye ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia LUKU serikali inatarajia kukusanya kama shilingi bilioni 46.5 ambapo huko tulikotoka ukusanyaji wake ulikuwa ni mgumu tulikuwa tunakusanya chini ya bilioni 30, lengo la zoezi hili ni jema"- @MsigwaGerson#MsemajiWaSerikaliPress