I highly recommend listening VERY CAREFULLY to these grief stricken youth mourning their friend who was brutally killed by Rangers this week in Ngorongoro!
They say Samia Suluhu and her government want to “erase them”
This is very serious and unfortunately true because overwhelmingly the victims of the #MO29 massacre, ongoing police brutality, #EnforcedDisappearances and other atrocities by security forces were and are young men from Tanganyika!
This is NOT a coincidence, it’s a pattern! And the youth are now seeing this clearly!
#SamiaMustGo #Tanzania
Vijana wamemjibu Mzee Butiku 🔥💪🏽
Wanasema ushauri wako tumeukataa ❌
Na wameonya wazee wengine wenye njaa wakome!
Tupo bize kukomboa nchi
#TutaelewanaTu
Amkeniii! Kuna lobby group nyingine Farrant group inaripotiwa kuwa inalipwa kodi zetu kumsafisha Mwuaji Mkuu Samia Suluhu na genge lake!
Wanapoteza pesa zetu bure maana mauaji halaiki hayafichiki! Utetezi wao ni wa kipumbavu na inatia wafadhili kichefuchefu
Sasa mmemwaga ma dollar na euros kujisafisha - hazina imekauka hadi watumishi wa umma mmeshindwa kuwalipa mishahara, wakandarasi wamekwama! Hali tete! Kisa Bi Kizimkazi awe rais! Really!?
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo hakuna namna - damu za ndugu zetu hazitatulia zinadai HAKI!
Na nyie wazalendo ndani ya mfumo endeleeni kuangalia tu - nchi ita collapse hii! Ohoo!
#TutaelewanaTu
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa na pumbu la mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, I don’t give a fuck!!!!’ Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
@TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
Tuendelee kuwa na amani ✊🏽
Mzigo wa magari ya kijeshi tuliyoona na kuambiwa inaenda Malawi imeshavuka mpaka na leo yaneonekana upande wa Malawi!
Magari yako kama 20 na yanasubiri kuendelea na safari baada ya kuvuka mpaka
Tunaendelea kufuatilia kila hatua!
Aisee JW msitusaliti a 7/7 waacheni akina Abdul wajichanganye nyie kaeni pembeni! Taifa kwanza!
Hadi #TutaelewanaTu
‼️MUHIMU KWA WAZALENDO WOTE🚨‼️
Ikiwa imebaki mwezi mmoja kufikia SabaSaba kuna tangazo limewekwa na Gen Z na Gen zote kuwepo kwa maandamano nchi nzima.
Sasa nashauri serikali haramu, vyombo vya Dola na chama cha maharamia CCM yafuatayo:
👉🏽 nakumbuka ktk mazungumzo na marehemu Baba yangu alikuwa ananisimulia matukio aliyoyapitia na alisema unapoenda kuongea na watu waliogoma au walioandamana usitumie nguvu na usiende kuwaona ukiwa na hasira! Wasikilize wakutukane weeee hadi adrenaline zao zishuke ndo muanze kuongea ila waache wafunguke na wasikilize!
Mlikosa busara KABISA Oktoba 2025 mkakubali kupelekeshwa na Abdul ambaye hana cheo serikalini?! Leo wote mnarukana ila wote mmeonekana wauaji!
Sasa mmewaua MAELFUU na kuzika miili yao kisiri - je ndugu wa hao mliowaua mnafikiri mtapunguzaje hasira zao!? Kwa kumwaga damu zaidi? Mnajua mwisho wake!? Hizi adrenalin hazitapoa tena kwa maneno!
👉🏽 Vikosi vya ulinzi na usalama kazi yenu SI KULINDA CCM! Leo hii Mafwele ndo kapigwa ban na si mtu yeyote wa CCM au serikali na bado atahaha na wengine! Hawa wanasiasa wako wapi kuwasaidiane? Kesho mambo ya kibumbuluka Abdul ataenda zake Oman na mama yake! Mtafungwa ninyi! Ndo iwe fundisho!
👉🏽 Maandamano ni HAKI na si uhaini! Cha muhimu mlitakiwa kuruhusu hata CHADEMA na wanaharakati waongoze haya maandamano ili tuwe na njia nzuri na wazi - leo maandamano haya yanaongozwa na watu wasio na jina au sura! Hata mi leo mkinikamata maandamano yataendelea maana watu wamechoka washajipanga kwa kaya! Mi napenda huu utaratibu maana ndo itakuwa na mafanikio kuliko kukamata wachache na kutuwinda kila kukicha! Ila kwenu ni karaha hamjui nani ni nani! Na pia wengine wana hasira tu wanaweza kuamua kufanya magumu na hakuna wa kuwakanya - wameshavuka mstari wa kuambiwa jambo!
👉🏽 JWTZ mmeruhusu vikosi shenzi vya Abdul na Mafwele pamoja na jeshi mamluki ya nje to operate with impunity! Wameua mbele yenu kwa silaha wananchi wasio na hatia! Vijana wamefumuliwa ubongo mbele yenu na mlibaki kuangalia au kurudi kujifungia makambini!
Mmefungua mlango kwa ushenzi zaidi na kesho hata majeshi ya jirani mf ya Uganda wakiamua wenyewe kuvuka na kutuua mtashindwa kudhibiti! Mmeonyesha hadharani udhaifu mkubwa na pona yenu ni kusimamia ulinzi wa wananchi! Kama ambavyo Oktoba 29 tuliamini mnatulinda na watu waliandamana kwa kujiamini ndivyo 7/7 acheni wananchi waandamane na muwalinde haswa! Na msiruhusu Abdul au kikosi chochote kuwaua na wanajeshi watakaodhuru wananchi wachukuliwe hatua kali!
Acheni watanganyika wapumue! Na rudisheni nchi kwa wananchi tuanze upya!
Huu ujumbe si ya machawa maana hao wanajua dili yao imebuma tayari! Naongea na WAZALENDO waliopo kwenye mfumo na ninaamini mmenielewa
Sisi tunasema 7/7 tunatoka! Tulindwe!
#SamiaMustGo #Haki kwa wote na uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
ELIMU MBALI MBALI imetia aibu huko 😂😂😂😂
Muandishi kauliza swali jepesi sana lakini kwasababu ELIMU MBALI MBALI imesikia neno "SANCTIONS" ikajua swali linaihusu Tanzania.
Amekurupuka kujibu UTOPOLO wake tena kwa kujiamini na lugha yake ya KISWAHILI. HII NG'OMBE Jiwe alitukosea sana.
Swali la muandishi limeuliza "unatarajia kukuza biashara na RUSSIA, Russia imewekewa VIKWAZO utawezaje kufanya biaahara na RUSSIA yenye vikwazo?"
Ng'ombe imejibu "Tanzania hatujawekewa vikwazo" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
TUSOMESHE WATOTO JAMANI.
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa..
Ushirika wa kidhalimu huwa haudumu, hakuna mwenye unafuu miongoni mwenu…
Wote mmekalia viti vya damu na vyeo vya uongo…
Damu ya Watanzania itaendelea kuwanenea kila baya nyie na familia zenu.
Ni muhimu mmeanza kumalizana, kama boss anaweza kutuma mtu kuita msaidizi wake majina (YUDA)
Watanzania tutashinda vita hii, hakuna mwenye nafuu ccm wote ni walewale.
Nyie wazanzibari akina Simai tulieni! Huyu kimama mwaka 2019 alisema wazi hawezi kuachia kiti cha namba mbili kwenda kuwa rais Zanzibar! Na Magufuli hakumtoa sababu alimgomea na angemfukuza angefungua pandora box na ye atimuliwe
Sasa ni hivi Nchimbi mkimpigia kura ya kutokuwa na imani bungeni mnatusaidia kama Taifa maana tutataka waondoke WOTE na Samia😁✊🏽
Wamepigiwa kura wote wawili kwa pamoja! Waondoke wote kisha na nyie ondokeni hapo bungeni! Na we Simai utakuwa wa mwisho hakikisha unazima taa zote 🤣
Makatili wauaji wakubwa
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo