@_zack255 Wanaaharakati hawataweza Tena wananchi wametambua hasara za wanahakati hawawezi ingiza Tena taifa kwenye Hali iliyopita wameshindwa na kamwe hawataweza serikali ifanye kazi Kwa amani
@Labella_Mafia95 Hata ubunge ni nafasi kubwa na Bado wananafasi ya kuteuliwa tuheshimu mamlaka ya uteuzi haijakosea imefanya vizuri watu wazuri ni wengi huwezi kuteua wote
@lifeofmshaba Mbona barua Haina shida yoyote hakuna asiyejua kama taratibu awamu zote Huwa ni hizo kuanzia mawaziri Hadi ofisi zote za uteuzi kipindi kimeisha hivyo lazima wakabidhi ofisi na kama ushindi unapatikana Kwa rais aliyopo anaamua Tena kukuteua kama ulikuwa unafanya kazi vizuri
@HopeQuotes__ Huwezi fananisha mabango na miradi ya maendeleo kwasabu mabango yote Tanzania nzima haya fikii hata asilimia moja ya mradi wa maendeleo wa SGR Richa ya kuwa wewe mpinzani lazima uwe mkweli hakuna nchi ilipata maendeleo Kwa siku Moja wiki Wala mwaka maendeleo ni process ndefu
@DuniaSlaveDunia Kwahiyo ulikuwa unapita nyumba kwa nyumba kuulizia au kisa unabando kwenye simu umeamua kuja kutudanganya bila hadidu za rejea. Huu ni uongo wa mchana
@TonnyAdamms@Glucky_Kapinga@mangoraofficial@godbless_lema Kama hivi social media BADALA ya kuinfluence uchumi wa nchi tuna influence maandamano migomo hakuna taifa limefika mafanikio Kwa siku Moja yapo mataifa yako independent 300 year Leo ukicompare na Tanzania unafanya makosa
@TonnyAdamms@Glucky_Kapinga@mangoraofficial@godbless_lema Unapolinganisha Tanzania na ulaya unakuwa umekosea unajua Ulaya pia inatuhujumu kisera na kwenye uwekezaji pia Uchumi haijawahi kuwa jambo la kusema Kwa maneno na likawa Cha kwanza sisi kama sisi tunatakiwa kuwa wazalendo kuipenda nchi yetu. Pili tupende kuwa washauri Kwa viongoz