๐ฅToyota Harrier aka Anaconda, Machine Moja ya Maana sana..
.
Unaweza Jiuliza kwanini hii gari imeitwa Anaconda, moja ya joka kubwa duniani lenye uzito na urefu wa kutosha..
.
Na unaambiwa majike Yake ndo huwa makubwa kuliko dume, Mambo Yasiwe mengi funga mkanda tuanze safari๐
@FKihamu Budo anajua aisee....penye ukweli lazima tusema. ila kwa sababu kil mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake basi tuache hivyo....lkn binafsi nilimfuatilia sana alipo ingia kucheza