By definition, uongo is that, that doesnt work.
Na sidhani kama kuna tafsiri ya dhambi sahihi kama hiyo. That is, dhambi is that, that doesnt work.
Therefore, uongo equals to dhambi na dhambi equals to uongo.
#FAHAMU
So I was reading the other day kuwa malaika aliyekuwa anaenda kumpa Daniel majibu alizuiwa njiani na ikamgharimu siku 21...and I was like wait! What if malaika aliyekuwa anaenda kumzuia Ibrahim asimchinje Isaka angekutana na mambo kama hayo ๐ ๐ anyways, mzazi mwombee mwanao.
Nadhani sababu moja wapo ya kwanini ndoa za zamani zilikuwa zinadumu kuliko za siku hizi..ni kwasababu malezi ya zamani yalikuwa magumu kuliko ya siku hizi. Siku hizi mtu anaweza akalelewa katika namna ambayo ugumu wa kwanza maishani mwake anakutana nao ndoani.
Shetani ni baba wa uongo.
Hivyo basi,
Kwa maana jinsi hii Shetani aliuchukia ulimwengu, hata akamtoa mwanaye wa pekee (uongo), ili kila amwaminiye asiwe na uzima bali apotee milele.
Say your truth, kindly, but fully and completely.
Live your truth, gently, but totally and consistently.
Change your truth easily and quickly when your experience brings you new clarity.
Hakuna sehemu ["Software"] hatari kwneye UBONGO wako kama, "Subconscious Mind".
- Bob Proctor huita, "Emotional Mind".
Wataalam pia, wanasema ni kama kiwanda ambacho kinachakata kila kitu iwe MALIGHAFI au TAKATAKA.
Yaani, haina uwezo wa KUCHUJA kinachoingia, "It absorbs".
Kama ni sumaku ungesema inavuta kila kitu.
Kama ni sponji ungesema inavyonza kila kitu.
Kama ni udongo ungesema inaweza kustawisha chochote utakachopanda iwe mazao na magugu.
Ndiyo maana ni muhimu, kujua namna ya kuilinda na kuifanyia "Service" kila wakati "Subconscious Mind".
Vingenevyo,
Hofu ikinasa hapo huchomoki.
Imani potofu ikinasa hapo huchomoki.
Chochote kikinasa iwe kutokana na "Experience" ambayo uliwahi kupitia au kwa "Imagination" tu, HUCHOMOKI.
Na, yenyewe haiwezi kutofautisha kati ya tukio ambalo ni halisi (Reality), au Imagination (Kufikirika).
Yaani, ukipitia jambo fulani katika uhalisia au ukafukiria tu jambo hilo kichwani, mwili wako utatengeneza hisia (emotions), feelings au moods zinazofanana.
Kwa mantiki hiyo;
- Ukifikiria tu utashindwa, ukienda kweli kufanya utashindwa.
- Ukifikiria tu umefeli, utafeli kweli.
- Ukifikiria umeshinda, utashinda.
- Kile utakachoshindilia kwa muda mrefu au kwa kurudia rudia, "Repetition" kwenye akili yako ndicho kitakachotokea katika uhalisia.
- Ndiyo maana kuna watu wana-reinforce (programming) au ku-comand kabisa akili zao kama vile wanavyotaka kupitia, Meditation, Visualization au Affirmations.
Kwa hiyo, kuwa makini na mawazo yako mwenyewe, kwani kila kitu kinaanzia katika fikra.