Nikiwa form two usiku mmoja kabla ya mtihani wa hesabu (mock), usiku wa saa saba brother ananiamsha anifundishe baadhi ya maswali ya hesabu na kesho nayakuta na the rest ni historia tu. Kuna rafiki(mentor) wangu alichekwa darasani na bwenini akiwa form one kisa equation rahisi