@PMadeleka Mimi kwangu nisawa kujadili hoja yake sio kumjadili yeye maana serikali yetu Ina janjajanja nyingi sana maana Kama serikali ya awamu ya tano ilikopa na deni halijalipwa na bado awamu ya sita imekopa inamaana tumelinyuu deni au ๐คท๐คท๐คท