Vijana rika yangu wamecrack something. Kila mtu anafanya “Forex” sahi ni millionaire. A nigga like me bado niko stuck between kulipa fare ya 110 ama kufake message which will later result in a gruesome scene na hawa makanga. Better days nikama itabaki kuwa stori