π£"Hongera kwa Simba, nampongeza na namtakia kila la kheri kocha Fadlu Davids, tumejaribu kila kitu ila tumeshindwa na mnajua tumecheza na timu kubwa kwenye bara letu la Afrika."- Stive Barker Head Coach Stellenbosch FC.
Halafu njoo umsikie mla mihogo wa jangwani π