@MarekaMalili Mt 12:43,45
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.Mara huenda,akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe. huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza
@makumbawaleo_5n In the past the definition of standards was grounded in manners and spirituality but nowadays standards means "pricing"
Beautiful to watch the world changing and culture evolving!
Because who are we to stay stagnant? ๐
Kuna uwezekano mkubwa wewe na washkaji zako kinachowaunganisha ni "shida zenu"
The moment watu wanaanza kushika hizi hela, mabadiliko ni kitu cha kutegemea kabisa ๐
Wenyewe wanasema "Sio kwa ubaya"
Ni nyakati na Majira.