@kirigitim Ilitukuta bus flan ngoma imepata pancha dereva dogo janja konda sista duu aisee nilivua suti yangu nkabaki na bukta nkaingia uvunguni chap chuma ika amsha ila nili wa mind maana hawa kunipa hata hela ya sabuni maj tu ya ku nawa nilipewa na abiria aisee nyie alisaidaa ckupenda
@munyamambogo Mjombaa kaa kwa kutulia waalimu wa gavo wana chapa bhn sijaja kwa miaka ya sahizi ila kwa sisi wa 4m 4 2012 kurudi nyuma tulichapwa kupita kiasi kuona tulikua hatufi nadhani ni Mungu tu
@GilbertPaul095 Frem yangu ipo bara baran hao vijana wenu wapo rafu sana na speed kali sana mbaya zaidi wengine wana ingia road ha ta sheria za bara baran hawazijui y wasife?
@JosipGiuseppe@Adventure_36 Nikiwa kama boda boda ngoja nkujibu ni usenge ulo pitiliza jamaa wapo rafu sana road vurugu mda wote hata mataa hawa heshimu wakat n kwa ajjli ya usalama wao pia