"Mtanzania Wilfred Moshi [@WilfredMoshi] amevunja rekodi ya kuteleza kwenye barafu huko #Greenland. Safari yake imechukua mwezi mzima kuikamilisha. Pia ndiye M #Tanzania wa Kwanza
[Mwafrika wa pili] kufika kwenye kilele cha Mlima Everest, mwaka 2012" ~ Francis Amandus Moshi
From high altitude ๐๏ธ โฐ๏ธ to skies, Greenland awaits! ๐ฟโ๏ธ Excited for my inaugural ski journey. Started at Ely with โท๏ธ training. Follow along as I carve through icy wonders and embrace the thrill of the unknown. #SkiingGreenland#ArcticAdventure#FirstTimeFlyer"
Ujenzi wa Kituo cha Afya Kifunda,Lufilyo, Busokelo.Mradi uliibuliwa na wananchi kwa kushirikiana na marafiki.Serikali inaendeleza ujenzi. Shukrani kwa Wananchi,Serikali na Washiriki wote.
Construction of the Kifunda Health Centre, Lufilyo,Busokelo.
@KassimMajaliwa_@ummymwalimu
@MarkMwandosya Prof. Ninathamini na kuheshimu maoni yako. Asante sana kwa chapisho kuhusu yakishujaa niliyoweza kufanya kwa taifa langu, Tanzania. Ni wakati sasa kwa taifa letu kufanya jambo kwa mashujaa wote. Asante sana!
@somebarry ๐๐๐.. Jamaa ni very experienced kwenye hizi shughuli za milima..@WilfredMoshi anaweza Kuku-convince na wewe ukapanda instead of that Benz,๐คฃ๐คฃ