Kesho kuanzia saa sita mchana mpaka saa nane mchana nitakuwa Mlimani city nitatue matatizo yenu yote ya Uber. Njoo kwa hasira maana mwenyewe nina hasira ๐ #UberON#UberSupportZone ...... ,
cc: @Uber_Tanzania
#MechiyaKirafiki: Kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya Sevilla, saa 1:00 usiku.
1. Manula
2. Coulibaly
3. Mo Hussein
4. Nyoni
5. Wawa
6. Mkude
7. Chama
8. Niyonzima
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi