Mh Heche amepiga nyundo nyingi za kichwa kuhusu maCcm waliotengeneza risiti feki pamoja na tuhuma za fedha mbalimbali zilizobainika wakati wa dodoso mahakamani
Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi, amemtaka Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi kuachana na kumzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kwenye mikutano yake.
Sugu amesema Kihongosi hawezi kupimana ubavu na John Heche kisiasa.
Ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa hadhara Kanda ya Nyasa leo Septemba 20, 2026.
Point muhimu kwenye hii video ni kwamba Kenya haiwezi kuvamiwa sababu inatawaliwa vile wananchi wanataka, yes Kenya’s democracy is not perfect ila ile nchi iko mbali mno kidemokrasia, imagine mahakama kuu ya nchi iko huru mpaka wanafuta matokeo ya uchaguzi. Sasa njoo Tz, kupinga tu matokeo ya uchaguzi huwezi…..
Kama vile navyoongea kila siku, kama haki isipopatikana Tanzania in the next 5-10 years kikundi kama M23 kitaibuka Tz. Naongea hiki kitu kitu kila siku na sidhani kama watu wanachukulia serious.
Narudia tena Watanzania wote lazma tuungane sasa hivi tusimamishe hii treni ambayo imeshatoka stesheni. Lazma tukimbie tuiwahi tukaisimamishe kabla haijafika destination. Lazma haki ipatikane haraka.
Wote wanaozuia haki isipatikane ndio wasiotaka amani na ndio watakaoleta maafa makubwa kwenye nchi. Hawa mbwa wanaozuia haki kupatikana wanaipeleka nchi kwenye moto mkubwa @jmkikwete@SuluhuSamia@ccm_tanzania
Nyie mnaojifanya mko busy na wasanii na mpira acheni kuweni busy na siasa ili wote kwa pamoja tupambane haki ipatikane before it’s too late.
@TunduALissu Meanapunda kama tulimpenda kwann tulipiga chini hama na dem wake yericko tu
Kwa mbowe watu atukua tunapigwa kwa Lissu tumevunjwa sababu pale wamedhamilia kwa mbowe ilikua zuga tulienda mahakaman bila was was wakupigwa au kutekwa
@mangekimambi Kwa kumbukumbu kazo nilini chadema ilipotezewa ww upo kuisupport chadema sababu tayar isha chonga njia imejiimalisha katika misingi ya kudai haki Lema alicho sema angemaisha yeye angekua wa kwanza kwenda kumuona changamsha ubongo bana zingine kejeli
@barakawamb@AdoShaibu Baraka kwamba ccm ni ya kwenu na baba yako acha ufala huyu nimwana siasa nchimbi akua makamu wa rais wa familia yake ila alikua wa nch nzima hivyo wote wenye utimamu tutasema na tuta muulizia alipo
@mangekimambi Angetaka salam zifike za ukweli angeagiza viongozi wake waende wakampe pole kwa niaba yake na chama usitake mda wote tuishi kwa kuwaza tufanye kipi anacho penda mange
@mangekimambi Mange sio lazima kila kitu kifanyike kama unavyo taka wewe kuongea tu hivi Lissu tayar uneanza ooh chadema sijui nini mna mwingine unaboa bana yeye yupo kizuizini sio sebuleni kwake anajaribu kuonesha dunia yeye sio katili kama alivyo samia
@MankindUwezo Alishindwa kufanya nini ulisikia wakat wa uongozi wake wakitekwa watu kuuliwa kama kuku kubambikia kesi kama mnavyo fanya sasa au mnaropoka tu kisa mna bando