“Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana.”-; Mhe. Tundu Lissu
September 23, 2026.
@420Cousin Mnashusha hadhi ya taifa kwa sababu ya kutafuta sifa ambazo hata hazina msingi. Rubio kumsalimia waziri wa mambo ya nje inakuwa kama kitu cha ajabu wakati wanakutana kila wakati huko nje?
@JiniKinyonga@ACTwazalendo@MchinjitaIR@Amkapodcast Kama kweli watu walienda kuchomwa kiwandani aisee ! Si tu ni uasi dhidi ya binadamu bali hata ni uasi dhidi ya utamaduni mila na desturi za kitanzania kama kweli hii ilifanyika, itajulikan siku moja inaweza isiwe leo ikawa hata miaka 20 baadae
@CuteMaria26 Nafikiri ni vyema wakamrejesha nchimbi ili akutane na sisi wanachi aliokuwa anawatumikia. Kwa mjibu wa maelezo ya barua yake ya kujiuzuri ni kutoendana na Rais wa JMT na sio kutoendana na wananchi. Pia katiba ifanyiwe marekebisho, Rais na makamo wake ikitokea wametofautiana