Pamoja na kuwa tuna Ardhi Nzuri Kwa Kilimo Cha Saumu
Lakini Kitunguu Saumu imewekwa kwenye list ya Import Goods
Kama una Ndoto ya kulima Saumu
Here's the Compilation threads
๐
@CloudsMediaLive Media yenu ina shuka kwa kasi tangu Ruge atutoke. Ajirini watu smarter wawasaidie kuirudisha kwenye laini kama zamani. Saivi power breakfast haina nguvu tena mnakosa ushawishi mmeshindwa kumantain position yenu
@laikasnewlife Kuna ndugu yangu alimpoteza wife wake kwasababu Dr alimpatia majibu kuwa ana TB na akampatia dawa nyingi sana za TB baadae baada ya kutopona walikwenda hospital tofauti akapimwa akaambiwa hakuwa na TB bali Mapafu yamejaa maji...
@Mungu_bab Na tukifanya maboresho mengine kidogo tuu tunaendelea kuchukua Tuzo. Ni wakati wafanya biashara wakubwa wakaona fursa ya hotel za kisasa Kujengwa mjini Babati.
@davieSammy9@officialshakuu Bro saivi ni rahisi sana kutofautisha ngano na magugu unless uwe haujasoma biblia. Ni simple sana wala sio kuhukumu watu lakini ata bible inasema namna unaweza kuwatambua manabii wa uongo. Hawa wanatumia shida zetu kujitafutia kipato na wanatumwa upenyo huo kufanya biashara haram