@mpambazi Kiukweli shida ya club yetu ni uongozi, viongozi wetu ndio wa babaishaji sana, kocha katolewa kafata na hao wachezaji walio simamishwa ni uonevu tuu ili wajilinde viongozi. Mwenyekiti wetu, huyo try again waondoke haraka sana kwa manufaa makubwa ya timu.
NAMNA YA KUGEUZA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK KUWA "FOLLOW ACCOUNT".
Watu wengi huwa wanatafuta namna ya kugeuza acc zao za Facebook "Follow Acc" badala ya Add Friends. Hapa chini nimekuwekea hatua kwa hatu namna ya kugeuza Add Friends Acc kuwa Follow Acc.