UPENDO hauendani na ubinafsi
Unapompenda mtu unapunguza kujitizama
Wewe binafsi na kumtazama zaidi
Mwenzako,nyote mnapukuwa na mtazamo
Kama huu,hapo ndipo tunapoweza kusema kwamba mnapendana kwa #DHATI💓💓
04' ⚽ Jack Grealish
15' ⚽ Conor Hourihane
48' ⚽ Tayron Mings
FT': Fulham 0-3 Aston Villa
Kwa mara ya kwanza tangu 1999/2000 Aston Villa wamefanikiwa kushinda michezo yao 2 ya ufunguzi wa Ligi.
Ni Wachezaji WAWILI tu ambao wamefunga hat-trick dhidi ya Manchester City ya Pep Guardiola (Mashindano yote):
🎩 Lionel Messi
Oktoba 16
Barca 4-0 Man City
🎩 Jamie Vardy
Disemba 10, 2016
Leicester 4-2 Man City
🎩 Jamie Vardy
Septemba 27, 2020
Man City 2-5 Leicester
Luis Suarez El Pistore 💥
Ameandika rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Atletico Madrid kufunga na kutoa Assists katika mechi yake ya kwanza kwenye LaLiga.
FT': Atletico 6-1 Granada
Costa 9'⚽
Correa 47'⚽
Felix 65'⚽
Llorente 72'⚽
Suarez 85,90+4'⚽⚽
Oh Yes!! Champion Boy Samatta anakuwa mchezaji wa kwanza wa Kitanzania kucheza Ligi Kuu ya Uturuki.
Anaingia kuchukua nafasi ya Mame Baba Thiam
Bado hakuna Bao: Galatasaray 0-0 Fenerbahce*
Mechi ipo Live @startimestz