Bondia Karim Mandonga leo amekabidhiwa gari aliyoahidiwa endapo angeshinda pambano lake nchini Kenya, amepewa zawadi ya gari hilo aina ya Nadia na Mfanyabiashara Dick Sound bila masharti yoyote ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi aliyokuwa ameahidiwa.
#MillardAyoUPDATES