Kwenye Maisha ni rahisi zaidi kufanya makosa kuliko kufanya jambo sahihi, muhimu kujifunza kujisamehe na kujiinua kwasababu umakini sio kitu cha kuzaliwa nacho nikitu cha kujifunza
#LSP2024 ndani ya kituo cha Unique Education Center wanafunzi walishiriki katika mdahalo.
Ili kuzuia upotoshaji wa taarifa ndani ecosystem ya habari wadau wote wana wajibu wa kuhakiki usahihi wa taarifa kabla ya kushare na yeyote taarifa hizo,Sio waandishi pekee.
#PleaseVERIFY
Kupitia program ya #LSP2024 wanafunzi wa Unique Education center walijifunza kuhusu #AI
Pamoja na faida zake, #AI ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa taarifa potofu ambazo ni ngumu sana kutofautisha na ukweli.
Ni vyema kuhakiki kila taarifa ili kuzuia upotoshaji #PleaseVERIFY
Program ya #LSP2024 katika kituo cha Unique Education Center.
Wanafunzi walijifunza namna teknolojia ya akili bandia (IA) inavyochangia uzalisha taarifa potofu ndani ya jamii.
Pia njia za kutambua maudhui yaliyozalishwa na AI kwa lengo la kupotosha umma.
#PleaseVERIFY
Program ya #LSP2024 katika kituo cha tution cha Siro academy.
Katika wasaa huo wanafunzi walipata kutambua njia za
Kuzuia usambazaji wa taarifa potofu katika jamii.
Wote wamesema watatumia 5W'S ili kuhakiki taarifa katika zama hizi za utata wa taarifa.
#PleaseVERIFY
Katika Program ya #LSP wanafunzi walijifunza kuwa skeptical (think critically) na kutumia 5W'S ili kuhakiki usahihi wa taarifa kabla ya kushare na wengine.
Kama alivyofanya Thomaso aitwaye pacha alipopewa taarifa za ufufuko wa yesu.
(Yohana 20 :24-25)