#UKIMWI | Zimbabwe inakua nchi ya kwanza Afrika kupitisha matumizi ya sindano ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (#PreEP).
➡️Dawa hii inaitwa “#Cabotegravir” ni sindano kwa wale walio katika hatari ya maambukizi.
➡️Inafanya kazi muda mrefu, utachoma kila miezi 2.
FULL TIME:#CAFCL
Al Hilal🇸🇩 1-0 🇹🇿Yanga SC (Agg 2-1)
⚽ Mohamed Abdelrahman
Shughuli imemalizika, Yanga SC wametupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kipigo cha jumla cha 2-1.
Al Hilal Omdurman imetinga hatua ya makundi ya #CAFCL kwa ushindi wa jumla wa 2-1.
#KitengeSports
KAMA UNA TABIA HIZI HUWEZI KUFANIKIWA KWENYE MAISHA YAKO YOTE.
Kuna watu huwa wanasema mafanikio hayana fomula. Watu hao huwa hawajui. Kuna vitu ambavyo waliofanikiwa wote wanavyo na kuna vitu ambavyo walioshindwa wote wanavyo.
Jambo hili haliwezi kuwa bahati peke yake, kuna
Huu Ndio Ushauri Ambao "Muhammad Ali" Alimpa Binti Yake...Ambao Unaweza Kumpa Binti Yako Pia...
...Ilikuwa ni Miaka ya 90's huko nchini Marekani...
Siku ambao Binti Yake Muhammad Ali aitwaye "Hana" alienda nyumbani kumsalimia baba yake 👇