Some codes may not work on all models or software versions, and a few are intended for diagnostics or technicians. Use them carefully.
Follow for more..
Nobody taught us this in school. 🧵
That cream in your medicine cabinet? You might be using the WRONG one.
Save this post. Share it with someone who needs it.
Your skin will thank you later. 🙏
Mwili wa Marehemu Hashim Kambi ukitolewa Hospital ya Mico Sinza ulipomkuta umauti na kupelekwa katika Mochwari ya Msikiti wa Maamur Upanga, Dar es salaam.
KitengeUpdates
Muigizaji nguli wa tasnia ya Bongo Movie Nchini, Hashim Kambi amefariki Dunia leo, Aprili 27, 2026, Sinza jini Dar es Salaam. Kambi amekuwa na mchango chanya katika ukuaji wa tasnia ya uigizaji hapa nchini.
Ni filamu gani unaikumbuka iliyowahi kukuvutia aliyoigiza Hashim Kambi?
Je, ni eneo gani la uhusika amekuwa akilitendea haki kwenye uigizaji wake?
#KitengeUpdates
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo.
PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Kiongozi Mkuu wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong UN, amesimamia na kushuhudia majaribio ya urushaji makombora ya kimkakati kutokea kwenye meli yake ya kivita majaribio ambayo yamekwenda sambamba na zoezi la ulengaji shabaha.
Chombo cha habari cha Serikali ya Korea Kaskazini kimesema makombora hayo ya kutoka baharini hadi ardhini yamerushwa jana March 04,2026 ikiwa ni sehemu ya kuonesha uwezo wa Nchi hiyo kujilinda kwenye maeneo yake ya Bahari. #MillardAyoUPDATES
#HABARI Jenerali wa Iran, Kioumars Heydari, ameapa kuwa Iran haitaacha vita vinavyoendelea hadi malengo yake yakamilike dhidi ya Marekani.
Heydari amesema Iran ina uzoefu wa kuvumilia vita vya muda mrefu, akirejea vita vya miaka minane ambavyo Iran iliwahi kupigana zamani.
"Tumewahi kupitia vita vya miaka minane, na hatutamaliza vita hivi hadi pale tutakapokuwa tumefikia malengo yetu na kumfanya adui ajutie na kukata tamaa kutokana na kitendo chake." #EastAfricaTV
COUNTRIES THAT STANDS WITH IRAN:
🇰🇵 North Korea
🇷🇺 Russia
🇨🇳 China
🇸🇾 Syria
🇱🇧 Lebanon
🇾🇪 Yemen
🇮🇶 Iraq
🇵🇰 Pakistan
🇧🇷 Brazil
🇴🇲 Oman
🇳🇬 Nigeria
🇪🇬 Egypt
🇷🇺 Russia
🇨🇳 China
🇸🇾 Syria
🇱🇧 Lebanon
🇾🇪 Yemen
🇮🇶 Iraq
🇵🇰 Pakistan
🇧🇷 Brazil
🇴🇲 Oman
🇰🇵 North Korea
🇦🇲 Armenia
🇹🇷 Turkey