@YourAnonOne So the narrative here is, Iran wants to inflict pain on Trump, get the World on Trumps side, get beaten by the entire World and loose. It's not a rocket science to know who would pull that off.
@ProfessorPape Before someone quit the JCPOA, Iran wasn't a threat at all. The world will be a safer place if we leave Iran alone and mind our own business
@assengajrr Good to notice that. CCM ni chama kilichozoea upinzani wa ndani but pande zote zinatambua maslahi yao yapo connected na chama. CCM wakigombana ndani ya chama si kwamba watampa wa nje, nadra sana. Most times atapewa mwingine wa ndani na pande zote zitaona bora ivo!
@Wakazi I second you.
Yes, they want to make a content but shouldn't come from humiliating "hustlers".
These people have fought for years through thick and thin, now wameona opportunity, hta km sio good enough tell them so but not to undermine their hustles.
@Eng_Matarra Hana hizo sifa, ni hardliner. Anafaa kuwa mpinzani kuiwajibisha serikali.
Kuwa Rais au wazir mkuu unahitaji mtu km Zitto au Mbowe, mtu mwenye ethics lakin anajua wapi a compromise ili mambo yaende.
Rais/Wazir mkuu hardliner ndio serikali ya Netanyahu na Ben Gavir
@YerickoNyerereT Nadhan tujikite zaidi kwenye contents za ripoti, tutasogea mbele. Kujadili uhalali wa ripoti ni muhimu ila kwa jopo lililofanya hii kazi sio la kutiliwa shaka. Inashangaza kukuta mtu hata degree moja ya sheria hana anahoji uhalali phd holder mwenye 30yrs experience