YouTube ni chuo kikuu cha bure, 😅 Miezi 3 nyuma nilijifunza ku-add biashara kwenye Google Location, leo tayari nimepata wateja wawili. Sasa nimehamia Google Ads. Hatua kwa hatua.
Kwa kumbukumbu zangu toka tajiri analimiliki hadi linarudi vingunguti halijawahi kulala chini🤝
Tajiri wa Kihaya akae vizuri na madereva wake
Scania Marcopolo DXE(polo jeuri)
Sauli Luxury kila siku 🔥
#SCANIAGANG
@Sirajitz1 Ni kuwa hata wao wanachukua unakoagiza wewe.
Pili wanaangalia sana bei nafuu kuliko uimara wa gari,
Tatu anaweka faida kwenye bei ile ile ambayo we unaagizia.
Nne, ukiagiza wewe una kuwa option nyingi kulingana na mileage, muonekano, rangi nje ndani, interior features n.k.
8 Kabla hujasaini cheti cha ndoa pima;
1. Ukimwi
2. Hepatitis B
3. Hepatitis C
4. Magonjwa ya zinaa
5. Genotype
6. Rhesus
7. Uwezo wa kupata mtoto
8. Magonjwa sugu
Repost hii kabla mtu hajafanya makosa.
UDSM ilianza na Wanafunzi 14 huku Mwanamke akiwa mmoja tu aliyeitwa Julie Manning. Huyu aliweka rekodi ya Mwanamke wa Kwanza Tanzania kusoma Sheria na Mwanamke wa Kwanza kuwa Jaji wa Mahakama kuu Afrika Mashariki na kati na pia akawa Waziri wa Sheria. Amefariki akiwa na miaka 87
KILA UNACHOANZA HUWEZI KUKIMALIZA?
Je wewe ni mtu ambaye hamalizi chochote unachoanza?
Ukianza kujenga nyumba hutamaliza
Ukianza maandalizi ya ndoa kitu fulani kitakuingilia na hutakamilisha
Unapata kukatishwa tamaa mara kwa mara
Unaanza maandalizi ya nyaraka za kusafiri lakini humalizi unahisi tena hutaki kusafiri
Kila kitu unachofanya hukimalizi, kitu fulani hutokea kukuzuia kukamilisha
Ni roho mbaya
Umeoa mara 2 hadi 3 lakini haifanyi kazi
Kila kitu katika maisha yako hakikamiliki
Chukua majivu ya kuni
Chukua chumvi ya bahari
Chukua maganda ya mayai
Saga vitu hivi vitatu pamoja kisha chukua mkojo wako wa asubuhi na mapema
Changanya kila kitu pamoja kisha funika na uweke kwa siku 3
Tumia mchanganyiko huo kujipaka mwili mzima na sema nia zako
Uache kwa dakika 30–40
Kisha jisafishe kwa maji
Usitumie sabuni
Usitumie dodoki
Jipake mchanganyiko huo siku moja tu
Weka ubishoo wako pembeni vumilia hiyo harufu utanishukuru baadae🫵
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Mwishoni mwa mwaka 2024 nilitengeneza hii package inayolist ya Mikoa yote, Wilaya, Kata na Postcode zake. Mpaka leo inatumiwa na developers 165.
Unaweza install hapa kwa kutumia composer https://t.co/XRGWLk9Ey2
In 1879, Ugandan healers were performing cesarean sections with a survival rate that stunned European doctors—while much of the "civilized" world still saw the procedure as a death sentence.
British explorer Robert Felkin documented the operation in detail. The surgeon used banana wine as an antiseptic, herbal anesthetics to manage pain, and cauterization with a hot iron to control bleeding. The mother survived. The baby survived. The technique worked.
This wasn't primitive luck. It was sophisticated medical knowledge passed down through generations—refined, systematic, life-saving.
Yet the dominant narrative tells us modern medicine arrived in Africa with colonizers and that before European intervention, the continent had no science, no innovation, no expertise.
But here's the contradiction: if African medical practices were so "backward," why were European observers documenting them with awe? Why were these techniques—rooted in empirical observation and botanical knowledge—producing outcomes that Europe itself struggled to achieve until the late 19th century?
The Buganda Kingdom had what the British Empire didn't: working cesarean sections that saved lives.
So what else were we doing that got erased, ignored, or rebranded as "discovered" by someone else?
Sources:
- Felkin, R. W. (1884). "Notes on Labour in Central Africa." Edinburgh Medical Journal
- Ajayi, J. F. (1965). Christian Missions in Nigeria 1841-1891. Northwestern University Press
Credit: African Echo