@Innocen89950594 Anza kula dona, tende, tikiti maji kwa wingi, ndizi + mazoezi ya kegel.
Maana yake uchakataji mbussss ni mbovu, DilDo ndo msaada pekee uliooneka kabla hajavuka boda kutafuta mchakataji mkata kiu.
@waziri_mbeya98 Duniani tunapita, makazi ya milele ni kaburini/mbinguni.
Kujenga duniani sio mafanikio mdogo wangu. Huwezi jenga njiani ukjisifia ni mafanikio.
Duniani ishi, mafanikio ni kuhakikisha maisha yako baada ya duniani ni mema. Namaanisha imarisha uhusiano wako na Mungu.
@safarimlevi Sijui umri wako ila unahitajika ukue kwanza then ndo urudi/uje kwenye mitandao.
Staha ni muhimu sana, chunga sana unachoongea, kuandika, kukusudia kifike kwa mlengwa kikiwa salama bila kuzodoa, kuaibisha, kudharau au kushusha thamani ya mtu au kitu.
@mnazi36 Hizo nchi za East Africa unazo jilinganisha nazo, umefika? Umekula misele mitaani?
Natural resources (maliasili, mf, mbuga, bandari, ziwa, bahari, madini, tanzanite) unalinganisha na tz?
Kagame alisema tumpe bandari ya DSM tu, atoe hela ya budget yote kila mwaka.
Tafuta maarifa
@Thommunkondya Ndugu, issue hapa ni uadilifu wa chama tawala. Inatakiwa kifuate sheria, kanuni na taratibu zilizopo na pia kiwajibika kisheria na kikatiba.
Ccm tunatakiwa kufuta hivi vijikosa vidogo vidogo. Ukishindwa kidogo, kikubwa unakiwezaje?
@GilbertPaul095 Mwanaume hutakiwi kuuliza mwanamke anapata wapi hela (especially vijana).
Baba zenu wakiwasikia mnawapa wasiwasi, maana m'ke hana kazi ila yake yanaenda (hadi hapo hujui anaipataje?) ukiaambiwa anavyoipata hela, unataka na wewe ukafanye ili uipate hela sio!!!!?
@incrediboss Hawa viumbe ni shida ila amini usiamini wanawake hawanogewi na wanaume soft.
Pinda kdogo uwe na kakitu personal, wakati mwingine asikuelewe.