Winga wa Tanzania Tarryn Allarakhia amekuwa mchezaji wa kwanza wa klabu ya Wealdstone FC kuwahi kucheza katika michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON baada ya kuanza dhidi ya Morocco leo Januari 17, 2024.
Tarryn Allarakhia alikuwa kwenye kikosi cha Stars kilichoanza dhidi ya Morocco kwenye mchezo wa #AFCON2023 akidumu uwanjani kwa takribani dakika 37 kabla ya kutolewa huku nafasi yake ikichukuliwa na Saimon Msuva.
#KitengeSports