@ruhmer_j@YcuL___ Je unafahamu kwamba asilimia kubwa ya wananchi wa TZ bado wanatumia chini ya $2.15 (zaidi ya TSh 5,600) kwa siku? So buku kwao bado ni thamani...
Tundu Lissu is a hell of a case study. Happy & resolute amidst turbulent times. M/Mungu amjalie umri aone matokeo ya kazi yake. Na mateso aliyopitia akiitafuta Tanzania bora.
Free Tundu Lissu Now.