Unatoka huko kijijini, Mungu anakusaidia unapata nafasi, unakua kiongozi... unaanza kutukana watu kuwaita vibaraka wa mabeberu,mara unawambia sio wazalendo.. Wengine familia zao na mali zao zimechangia kupatikana uhuru wa nchi hii... Mzee Aikael Mbowe akipigania uhuru wa Tz 1957.
Kinachohitajika zaidi ni elimu ya uraia: haki za raia na wajibu wa raia. Huku kujipendekeza hakulisaidii taifa. Kama historia ya viongozi basi ianze kwa Nyerere. Na Mwinyi. Na Mkapa. Na Jk. Kisha ndo huyo Jiwe.
๐NEC ni mbovu na inapendelea CCM na imeharibu uchaguzi
๐NEC hii ya Dr Mahera tuliilalamikia kuwa ni ya hovyo sana na imeharibu uchaguzi wa Oktoba 2020
๐Kuna mabadiliko yamefanyika?Dr Mahera katolewa?Utendaji umebadilika?
๐Nadhani majibu ni HAPANA
SASA JIPANGENI KWA MSHANGAO
Ni mentality Mbaya sana kuwaaminisha unaowaongoza kuwa ni WANYONGE, inawezekana vipi kuwaita walipakodi zinazokupa mshahara na kujenga Taifa kuwa wanyonge? Hili neno muache kulitumia na waiteni wati wa kipato cha chini mkitaka au mesahau tupo Uchumi wa kati ?
Kataa UNYONGE
Mabadiliko ya tabia yanaanza na mtu mmoja mmoja, ni vyema kubadili tabia na kuona vitendo vya ukatili wowote vinaachwa.
Thamini Utu wa mwenzio,shiriki katika utoaji haki unaozingatia usawa,KATAA RUSHWA YA NGONO #ZuiaUkatiliWaKijinsia
Cc @WiLDAFTz