@__S_U_S_H_I__ Denver are down 3 starters(Cam,Bruce and Gordon)+they sacked Malone lakini Jokic n Murray wanaibeba timu fresh as if hakuna changes..Sasa Timu yako wewe Ina Reaves+Luca+LeBron..This 3 guys alone can give u +75 points every night..Nini shida?
@Kagurusi5@YoungAfricansSC Dube Mchezaji wa Hersi,kama ilikvokuwa Aziz Ki..Kwa hiyo hata azingue vipi,atapangwa tu...Maxi kashaona timu ipo wazi Haina Superstar zaidi ya Pacome..Kwa hiyo anatka akuforce vitu yeye ndio awe star wa timu..tusipokuwa makini huu unaweza ukawa mwanzo wa kuteleza kwetu.
@Luhizo91@YoungAfricansSC Kocha ana madhaifu yake...ila timu pia hatuna..Anza kukagua toka alipoanza Kuondoka Mayele Hadi hii Leo..Linganisha wachezaji walioondoka na waliongia Hadi ss..utaona kuwa quality ya timu ishashuka tayari..dirisha la Juzi na hili yote tumesajili upuuzi..kasoro Duke na Doumbia tu.
Where are my melanin babes at?๐ฅฐ๐ฅ we do the perfect glam for all skin typesโฆ @ohheylolbye why so gorgeous?!?๐ฅ
Book your makeup appointment now
Call/ Whatsapp ๐ฒ 0676335537
๐Sinza Mori, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah