@sundey_fx Naona these days traders wanakuja front sana kufundisha au kutaka watu wajue hopefully Nia ni Moja ya kukuza industry maana hata Mimi nimeshawishika na huu upepo uliopo kwa sasa kutaka kujfunza naamini it's genuinely maana I thnk mentaly I'm ready kwa swali naomba niwe nkja hapa
@sundey_fx Sawa I think mtu mmoja amekuelewa nikiwemo... Unaangalia vitu Gani kumchagua mwalimu kwenye forex? YouTube I think kuna option za kuangalia video nyingi nyingi kupata abc but kumpata Mwl mtu aangalie nini kwa mwalimu. Sababu naona mafanikio ya hii kitu ni mwalimu
@sundey_fx Kuna mtu mmoja anataka kuanza hii safari ya forex ni neno Gani unaweza ukampa ili kurahisisha safari yake kulingana na era iliyopo now na vitu ambavyo anaweza vibadilisha ambavyo nyie nyuma hamkuvijua inaweza vikawa ni Siri Yako ya Kambi but sio mbaya ukatoa vichache mtu kujfnza