Zaburi 40:
(Psalms)
4. Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake, Wala hakuwaelekea wenye kiburi, Wala hao wanaogeukia uongo.
---------------
Blessed is that man who makes the Lord his trust, And does not respect the proud, nor such as turn aside to lies.
HONGERA SIMBA SC KWA KUIBUKA MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO.🏆
Betway tumefurahi, Wana Simba wamefurahi, Watanzania wamefurahi, Dunia imeenjoy.🤗
📌Wana SIMBA tuambieni njia ambazo mnataka paredi la kibabe lipite.🤣
#BetiNaBetway
Hii press ya GWAJI BOY ilifungua ndonga za watanzania wengi sana.
DIKTETA JIKE linaisoma namba huko.
Jitu linasema lilichaguliwa kwa asilimia 90 linaapishiwa MBUGANI.
Kila siku watu wanaongelea maandamano.
Miji mikubwa MAGARI YA MAASKARI, WANAJESHI na mabuduki wanazurura zaidi ya mwezi mzima.
Na huu sio mwanzo SAMIA huu ndio utakuwa UTARATIBU wetu kama taifa wewe si CHURA KIZIWI?
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kwanza hiki kizazi chetu, hakuna anayejali kuhusu chama, tunaangalia kesho yetu na kizazi chetu cha baadae, hatupo tayari makaburi yetu kuja kupigwa viboko kwasababu ya hofu ya kutosema ukweli,
Najua huenda mheshimwa Rais hajui yanayoendelea huku chini, na Ndio maana tunataka kuandamana kupeleka keep zetu kwake kwasababu hatuna wa kutusemea,
Tanzania ukisema ufwate protocol utachelewa sana
Sihamasishi Vurugu ila pia sipo tayari kunyenyeswa kwenye Ardhi ya mama yangu
Kaulizwa swali dogo tu; “NI KIFUNGU GANI CHA SHERIA ULICHOTUMIA?”. Anaishia KUPUYANGA TU na Kutokwa Povu.
Kinachoshangaza ni mwanasheria. Huyu ni aibu na fedheha kwa jamii ya wanasheria.
"Ukitaka nikishauri Chama changu, Chama Cha Mapinduzi nitasema tunahitaji kukipambania sana Chama, tumekuwa wanyonge sana. Na nikuambie baada ya uchaguzi siasa yote huwa inarudi Bungeni sasa huwezi kumchukua Dada wa Mbezi Dar Es Salaam halafu akahutubie kwangu, wewe ni nani? Hawamjui. Chama chetu kinahitaji timu ya kuzunguka Nchi nzima na haya yalifanyika wakati wa Mzee Kikwete, Nape Nnauye na Abrahaman Kinana walizunguka Nchi nzima."
... Kuna maumivu yametokea na Rais ametengeneza tume imeleta majibu lakini huwezi kwenda tu MwanaCCM kuhutubia madarasa na Hospitali wakati kama chama tawala hujaeleza yale yaliyotokea na ni lazima upeleke watu wanaokubalika kwa watu. Ni kama kanda ya ziwa, huwezi kuanza kuhutubia tangu saa nane halafu unaongea tu kiswahili, kuna kisukuma kule na kadhalika."
"Kwasasa tunawaacha tu kina Godbless Lema wanajibishana na Polisi, leo amemtukana IGP kesho fulani, sisi Chama chetu kimekuwa cha kujibiwa na Polisi. Tunahitaji pia kama Chama kutoa kauli kuhusu tarehe 29 na tuchukue hatua. Watu hata wakati wa Mkapa watu waliandamana na hata kwa Kikwete kwahiyo kama Chama ni lazima tujiulize nani katufikisha hapa."
- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma akizungumza kwenye M/S Podcast.