@lifeofmshaba Huna unachojua wewe. Kuandikaandika China na Russia ni ushahidi wa wazi umemezeshwa scripts.
Kama hoja ni Tz ku mingle na China, vipi Trump aliyekuwa juzi huko China? Vipi Putin pia aliyekwenda China?
Hovyo kabisa
Taarifa kwa umma.
Tunalaani kwa nguvu zote serikali dhalimu kuzuia tume ya haki za binadamu ya bunge la ulaya kuingia nchini kuona ukweli kuhusu hali ya hali za binadamu.
Kama tume yenu ya Chande imechunguza na mnaamini ilichosema, kwanini mnaogopa kuruhusu watu huru kuja kuchunguza?
@godbless_lema Kuweni na msimamo na consistency!
Mmemkataa sio Rais, baadae mnasema serikali yake???
Mmetamka tume ni batili na ripoti ni batili. Mwishoni mnatwambia kudondoa muhtasari wa ripoti?
How? Why?
Komaeni muaminike ama mnafanya utapeli usiowasaidia.
Rais yupo na ni Samia.
@MO29TV Huyu ni TAPELI. Aliwadanganya vijana kukiwasha kwa ahadi kwamba Jeshi lipo nyuma yao na kwamba wanajeshi wengi wanawaunga mkono !!!
Huu tu ni ushahidi wa nia ovu dhidi ya serikali na ilikuwa ni kuchezea kamali uhai kwenye suala kutafuta na kulinda madaraka ya nchi
Kiburi cha CCM ndio kilichoma vituo vya mabasi?
Kiburi cha CCM ndio kilitishia kukata vidole vya wapiga kura?
Kiburi cha CCM ndio kiliharibu na kuvuruga uchaguzi?
Lissu aliwahakikishia wafuasi wake kwamba uchaguzi utavurugwa na watakinukisha na kweli vijana wakaingia mzigoni
Wakili Mwabukusi asema CCM ni chama chenye kiburi sana kwani wao kama TLS walifanya kila namna kuhakikisha mazungumzo yanafanyika kabla ya Oktoba lakini hawakufanikiwa.