Today for the first time in my life a “police officer” in plain clothes stopped me akaniuliza what’s in my bag ama ni bangi nikamuuliza mbona anani profile na sitafungua bag kama hajatoa ID yake ya kazi , we had to walk back hadi kwa gari yake showed me his id na nikafungua bag