Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet 🙏🏽
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Hicho CHUMA na hizo nati ndio vilikuwa TAYA yangu kwa siku 646.
Hii ilikuwa Operation iliyokuwa inaniwazisha sana akili yangu kwa muda mrefu.
NAMSHUKURU MUNGU HILI GUMU LIMEPITA-JAPO NIMEPOTEZA MENO YANGU MAWILI.
Kwangu hii bado ni nafasi ya upendeleo MUNGU anaendelea kunipa.
GEN Z, Post hii naomba muikumbuke milele hata kama kesho sitakuwepo muishi nayo.
TUSHATOKA kwenye siasa za kulambana miguu—siasa za kusubili vyama vya upinzani vitoe matamko hizo siasa tushaziacha 2025.
Kama tuliweza kuandamana #MO29 bila mchango wa chama chochote cha siasa inamaanisha hakuna KITU TUTATAKA kwenye hii nchi tutakikosa TUKIAMUA.
Siasa hizi zetu GEN Z tumia LUGHA Yeyote ile kuondoa sumu mwilini mwako, unapoona unastahili KUTUKANA kwa usenge wanaofanya basi fanya hivyo bila kuogopa usenge.
Zile siasa za kufuata PROTOCAL za kisenge ndio zimefikisha taifa hapa. Msikubali kuendeshwa na WANASIASA wasenge, tembeeni na wanasiasa wanaoongea LUGHA MOJA NA NYIE.
TUKUTANE AFCON 2027.
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..