@ExMayorUbungo Kama mambo seriously kama haya wapinzani mnayaelezea kimasihala hivi na kauli za juu kabisa za viongozi wa upinzani ,basi CCM haiwezi toka madarakani nchi hii.
Kuna jirani ameoza mtoto wake wa kike toka week iliyopita ila hadi sasa Dj bado anapiga mziki pale almost week ya pili imeanza .
Aliyeoa uyo binti kama hajuziwa gharasha sijui ππ siyo kwa furaha hizi walizonazo.
@_zack255 Hii nchi inauozo mwingi unakuta kijana mdogo mwenye uwezo mdogo wa kutafasiri jumbe nzito amelaa getto anakula nyeto na kuanza kumjibu Waziri mkuu msitafu huu si usengerema yaani unaijua nchi kuliko aliyekuwa waziri mkuu.
Hii tamaduni ya kuwa na bando unazani unajua kila kitu ..
@ndembo255 Baada ya mwamba kupost Gamba .
"UKIJA KWA IDADI NAGAWA WASTANI BILA IDADI"
Wapwa wanahama agenda kuwa wanataka project ππ
Hii nchi ina watu wa hovyo wanatumia B200+ kufanya uchafuzi na wanasubiria mvua kupata maji Dar .
Ungese sana π
@mshambuliaji Wana X naomba kuuliza hivi zile ofisi huwa zinakukamata ndipo zinachunguza au zinachunguza kwanza kisha ndiyo zinakukamata maana dogo kama uyu ni TUNU ya Taifa others watu wataanza kuuliza weledi wa ile ofisi?Nimetizama video za uyo @MikaChavala aisee ni swala la AIBU kwa nchi.
Wana X naomba kuuliza hivi zile ofisi huwa zinakukamata ndipo zinachunguza au zinachunguza kwanza kisha ndiyo zinakukamata maana dogo kama uyu ni TUNU ya Taifa others watu wataanza kuuliza weledi wa ile ofisi?Nimetizama video za uyo @MikaChavala aisee ni swala la AIBU kwa nchi.
@Roma_Mkatoliki Maadui watatu wa nchi ya #Tanzania kwa mujibu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ni
π€«ujinga,
π€«umaskini
π€«maradhi.
KAMA unazani kuna adui mwingine hajatajwa mtaje hapo chini π€