@Hansrafael19@Hansrafael19 Kwa viwanja vilovyoruhusiwa kucheza mashindano ya kimataifa ya CAF na FIFA Pitch dimension ni standard Moja Duniani kote hakuna pitch kubwa Wala ndogo utofauti ni majukwaa tu... Amaan, mkapa na mabhida ni kumoja ndugu mchambuzi
@DavidB76030@PresenterNoah@jovihn Hilo jambo linanikwaza na ndo maana wazazi wengi bado wanakuwa wazito kuruhusu watoto wa kike kushiriki mchezo wa mpira unakuta mtu akiingia huko basi anataka kuwa na muonekano wa kiume wakat hata wanajeshi wa kike bado wanakuwa na uanamke wao sasa wao wanashindwa vp